TRA

TRA

Sunday, June 11, 2017

SHAKA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA VIONGOZI WA MATAWI YA VYUO NA VYUO VIKUU YOTE MKOA WA DAR ES SALAAM

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
 
Kaimu Katibu Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM, Daniel Zenda aliyesimama kushoto
akizungumza na Wanachama na Viongozi Makada wa CCM Idara ya
Vyuo na Vyuo Vikuu UVCCM Mkoa wa Dar es Salaam jana.
Kaimu Katibu Idara ya Oganaizesheni na Uhusiano wa Kimataifa UVCCM,  Mohamed Suleiman akizungumza na Viongozi Makada wa CCM idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Uvccm Mkoa wa Dar es Salaam .
 Viongozi vyuo na vyuo vikuu wa mkoa wa dar es salaam wakimsikiliza  Kaimu Katibu Mkuu UVCCM, Shaka Hamdu Shaka
 Kiongozi wa idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Tawi la Chuo kikuu Cha Dar es Salaam (UDSM ) ndg:Daud Ngasa akizungumzia mambo mbali mbali yahusuyo tawi lake kwa ndg Kaimu Katibu Mkuu UVCCM Shaka Hamdu Shaka jana alipokutana na viogozi na wanachama Mkoa wa Dar es Saaalam
Meza kuu ikisikiliza
 Kaimu katibu Mkuu uvccm Shaka Hamdu Shaka aliyesimama kulia akizungumza na Viongozi vyuo na vyuo vikuu wa Mkoa wa Dar es salaam jana katika ukumbi wa Uvccm Makao Makuu Upanga Dar es salaam.
Kaimu Katibu Mkuu Uvccm Shaka Hamdu Shaka akiagana  na Viongozi wa UVCCM Idara ya Vyuo na Vyuo Vikuu Mkoa wa Dar es Salaam.
 
PICHA ZOTE NA FAHADI SIRAJI

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger