| Wanafunzi wa Islamic Yatima Foundation, wakipata futari iliyoandaliwa na Kampuni ya Tigo eneo la Ilemela jijini humo. | Mwanza juzi. |
| Wanafunzi wa Islamic Yatima Foundation, wakipata futari iliyoandaliwa na Kampuni ya Tigo eneo la Ilemela jijini Mwanza. |
Meneja
wa Kampuni ya Tigo Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Ladislaus Karlo
(kushoto) akimkabidhi sehemu ya zawadi kutoka kampuni hiyo kwa Mhasibu
wa Kituo cha Kulelea watoto yatima Cha Nuru, kilicho Uyole Jijini
Mbeya,Semu Mwansasu, (kulia) kabla ya wafanyakazi wa Tigo Mbeya
kushiriki pamoja na watoto hao kwenye futari iliyoandaliwa na Tigo ofisi
ya Mbeya.
|
| Meneja wa Kampuni ya Tigo Kanda ya Nyanda za Juu Kusini, Ladislaus Karlo akikabidhi sehemu ya zawadi kutoka kampuni hiyo kwa Kituo cha Kulelea watoto yatima Cha Nuru, kilicho Uyole Jijini Mbeya,Semu Mwansasu, (kulia) kabla ya wafanyakazi wa Tigo Mbeya kushiriki pamoja na watoto hao kwenye futari iliyoandaliwa na Tigo ofisi ya Mbeya. |
SHARE








No comments:
Post a Comment