Mkurugenzi
wa Shirika la ndege la Turkish Airlines nchini Tanzania, Ahmet Sahin,
akiwakaribisha wageni waliohudhuria Iftar iliyoandaliwa kwa ajili ya
wageni na wadau mbalimbali iliyofanyika jana katika hoteli ya Serena
jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wageni waalikwa wakipakua na kupata chakula cha futari iliyoandaliwa na shirika la ndege la Turkish Airlines.
Wageni na wadau
mbali mbali wakipata Iftar iliyoandaliwa na Shirika la ndege la Turkish
Airlines nchini Tanzania iliyofanyika jana katika hoteli ya Serena
jijini Dar es Salaam.
Wageni waalikwa wakibadirishana mawazo katika hafla hiyo.
Baadhi ya wageni waalikwa wakiongea na Mkurugenzi wa Shirika la ndege la Turkish Airlines Tanzania, Ahmet Sahin.
SHARE
No comments:
Post a Comment