TRA

TRA

Wednesday, June 7, 2017

Uingereza kupiga kura leo

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
Mamilioni ya watu leo watapiga kura kwenye uchaguzi mkuu nchini Uingereza.

Shughuli za upiganji kura zitaaza mwendo wa saa moja asubuhii saa za Uingereza, wakati zaidi ya vituo 40,000 vitafunguliwa kote nchini.

Jumla ya wabunge 650 watachaguliwa huku takriban watu milioni 46.9 wakiwa wamejiandikisa kupiga kura.

   Kituo cha kupiga kura

Ni ongezekao kutoka uchaguzi wa mwaka 2015 wakati wapiga kura milioni 46.4 walikuwa wamejiandikisha.
Kura zingine tayari zimepigwa kupitia kwa posta ambayo ilichukua asilimia 16.4 wakati wa uchaguzi wa mwaka 2015.
Vituo vingi vya kupigia kura vinafanyikia shueleni na katika vituo vya huduma za kijamii.
Matokeo ya viti kadha yanatarajiwa kutangazwa ifikapo usiku wa manane, huku matokeo ya mwisho yakitarajiwa kutangazwa Ijumaa mchana.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger