Maafisa
wa Mamalaka ya Mapato Nchini (TRA) wameendelea kufanya zoezi la
ukaguzi wa maduka ya wafanyabiashara wanaouza bidhaa zao pasipo
kuwapatia risiti za mashine za Kielektroniki (Efd) jijini Dar es Salaam.
Kampeni hiyo imeendelea kufanyika katika eneo la Kibiashara la Kariakoo
na itakuwa endelevu kuhakikisha wafanya biashara wanazingatia sheria,
kanuni na taratibu za biashara katika mauzo ya bidhaa zao.
Afisa
wa Kampuni ya Yono Auction Mart na askari polisi wakisimamia zoezi la
kuingiza ndani bidhaa za wafanya biashara walikutwa wakiendelea kutoa
huduma ilhali awali walikutwa wakiuza bidhaa hizo pasipo kutoa risiti ya
kielektoniki licha ya kuwa na mashine. Hatua ya ukamatwaji kwa wafanya
biashara hao inatokana na kitendo cha kutokuitikia wito wa mamlaka ya
Mapato Nchini (TRA) wa kwenda kulipa faini baada kufanya kosa hilo. Kwa
kosa hilo watalazimika kulipa kati ya shilingi milioni 3 mpaka 4 na nusu
ili waruhusiwe kuendelea na biashara. (Imeandaliwa na Robert Okanda Blogspot)
|
Add caption
|
Afisa
wa Kampuni ya Yono Auction Mart akifunga kofuli la wafanyabiashara
walikamatwa katika Mtaa wa Aggrey Kariakoo Dar es Salaam wakifanya
biashara bila pasipo kutoa risiti ya kielektoniki licha ya kuwa na
mashine hiyo. Hatua ya kuwakamata wafanya biashara hao imetokana na
kushindwa kuitikia wito wa mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) kwenda kulipa
faini baada kufanya kosa hilo. Hivyo basi watalazimika kulipa kati ya
shilingi milioni 3 mpaka 4 na nusu ili waruhusiwe kuendelea na biashara.
|
Afisa
wa Kampuni ya Yono Auction Mart akifunga kofuli kwenye lango duka la
wafanya biashara waliokamatwa katika Mtaa wa Aggrey Kariakoo Dar es
Salaam wakifanya biashara bila pasipo kutoa risiti ya kielektoniki licha
ya kuwa na mashine. Hatua ya kuwakamata wafanya biashara hao imetokana
na kushindwa kwao kuitikia wito wa mamlaka ya Mapato Nchini wa kwenda
kulipa faini baada kufanya kosa hilo. Kwa kosa hilo watalazimika kulipa
kati ya shilingi milioni 3 mpaka 4 na nusu ili waruhusiwe kuendelea na
biashara.
|
Afisa wa Mamlaka ya Mapato Nchini (kushoto) akisubiri mmiliki wa duka la urembo lililokutwa
likiendelea kufanya biashara hata baada ya kukutwa wakiuza bidhaa zao
pasipo kutoa risiti za kielekroniki licha kuwa na machine inayotakiwa
kutumika kwa utoaji wa risiti kwa wateja wao iliyotolewa na TRA. Hatua
ya kuwakamata wafanyabiashara hao imetokana na kitendo cha uongozi wa
duka hilo kutokuitikia wito wa TRA kwenda kulipa faini baada kufanya
kosa hilo. Wafanya biashara hao watalazimika kulipa kati ya shilingi
milioni 3 mpaka 4 na nusu ili waruhusiwe kuendelea na biashara.
|
Wafanya
biashara waliokamatwa eneo la Kariakoo Mtaa wa Congo Dar es Salaam, kwa
kosa la kutoitikia wito wa mamlaka hiyo kwenda kulipia faini ya utoaji
wa huduma pasipo kutoa risiti za kielektoniki licha ya kuwa na mashine
wakifunga duka lao walipokamatwa na maofisa wa TRA Juni 22 2017. Kwa
mujibu wa sheria za nchi wafanyabiashara hao watatakiwa kulipa kati ya
shilingi milioni 3 mpaka 4 na nusu ili waruhusiwe kuendelea na biashara.
|
Afisa
wa Kampuni ya Yono Auction Mart (kulia) na mmoja wa wafanya biashara
wakifunga makofuli kwenye duka la madera katika mtaa wa Congo Kariakoo
Dar es Salaam Juni 22 2017 baada ya kukutwa duka hilo likiendelea kutoa
huduma ilhali awali walishakutwa wakiuza bidhaa hizo pasipo kutoa risiti
ya kielektoniki licha ya kuwa na mashine ya risiti za kieletroniki
(Efd). Hatua ya kuwakamata wafanyabiashara wa jinsi hiyo ilitokana na
kitendo cha kutokuitikia wito wa mamlaka ya Mapato Nchini wa kwenda
kulipa faini baada kufanya kosa hilo. Kwa kosa hilo watalazimika kulipa
kati ya shilingi milioni 3 mpaka 4 na nusu ili waruhusiwe kuendelea na
biashara
|
SHARE
No comments:
Post a Comment