TRA

TRA

Monday, June 19, 2017

Wanaume 4 watoroka jela kupitia njia ya ardhini Indonesia

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !
Polisi nchini Indonesia wanawatafuta wanaume wanne raia wa kigeni ambao walitoroka jela mjini Bali wakitumia njia ya chini ya ardhi.

Wanaume hao wanatoka nchi za Australia, Bulgaria,  India  na Malaysia.
 Wanaume hao wanaaminiwa kutoroka jela kupitia njia ya chini ya radhi
Mkuu wa jela la Kerokoban alisema anaamini wanaume hao bado wako kisiwani humo. 

Magereza nchini Indonesia hukumbana na watu wengi wanaukamatwa kwa ulanguzi wa madawa ya kulevya na visa vya kutoroka jela ni vingi.

Wanaume hao wanaaminiwa kuitoroka jela kupitia njia ya chini ya radhi
Ilibanika kuwa watu hao hawakuwepo Jumatatu wakati ya ukaguzi wa kawaida.

CHANZO: BBC

Author:

«
Next
Chama cha Macron chapata ushindi bungeni
»
Previous
Mtoto aliyezaliwa ndani ya ndege kusafiri bure maishani

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger