![]() |
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu(sera, bunge, kazi, vijana, na watu wenye ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama, akiwa na Naibu Waziri Mhe Anthony Mavunde na Mkuu wa mkoa wa Iringa Mh. Amina Masenza wakifurahia jambo walipotembelea taasisi ya Don Bosco inayotekeleza mradi wa programu ya kitaifa ya kukuza ujuzi na nguvu kazi, stadi za maisha kwa vijana, Mkoani Iringa |

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu(sera, bunge, kazi, vijana, na watu wenye ulemavu), Mhe Jenista
Mhagama, akiwa na Naibu Waziri Mhe Anthony Mavunde wakikagua karakana na
baadhi ya kazi zinazofanywa na Taasisi ya Don Bosco wanaotekeleza
mradi wa Programu ya kitaifa ya kukuza ujuzi wa nguvu kazi wa stadi za
maisha ya Taifa kwa vijana, Mkoani Iringa mpango ambao utawanufaisha
vijana elfu tatu mianne 3,400 mpango unaogharamiwa na Serikali ya awamu
ya tano chini ya Rais Mhe, Dkt. John Pombe Magufuli.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu(sera, bunge, kazi, vijana, na watu wenye ulemavu), Mhe Jenista
Mhagama, akiwa na Naibu Waziri Mhe Anthony Mavunde wakikagua karakana
hiyo.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu(sera, bunge, kazi, vijana, na watu wenye ulemavu), Mhe Jenista
Mhagama, akiwa na Naibu Waziri Mhe Anthony Mavunde wakikagua moja ya
mashine katika karakana ya chuo hicho.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu(sera, bunge, kazi, vijana, na watu wenye ulemavu), Mhe Jenista
Mhagama, akiwa na Naibu Waziri Mhe Anthony Mavunde wakiwa na viongozi
mbalimbali wa mkoa wa Iringa pamoja na baadhi ya wafanyakaziwa wa chuo
hicho.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri
Mkuu(sera, bunge, kazi, vijana, na watu wenye ulemavu), Mhe Jenista
Mhagama, akiwa na Naibu Waziri Mhe Anthony Mavunde wakiwa katika picha
ya pamoja na wanafunzi wa chuo hicho.
SHARE
No comments:
Post a Comment