TRA

TRA

Sunday, July 2, 2017

ACCESS BANK KIMBILIO KWA WAJASIRIAMALI MAONESHO YA SABASABA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

 

 
Ofisa Mikopo wa Access Bank, Godbless Exaud  akizungumza na mmoja  wateja juu ya huduma zinazotolewa na benki hiyo ikiwemo mikopo kwa wajasiriamali wadogo

 Meneja Masoko wa Benki ya Access Bank, Sijaona Simon akizungumza na Mmoja wa Wateja waliotembelea Banda la benki hiyo hili kuweza kujipatia huduma mbalimbali zinazotolewa ikiwemo mikopo na akaunti ya malengo maalumu.
  Ofisa Mikopo wa Access Bank , Marggoreth Riziki  akizungumza na mmoja  wateja juu ya huduma zinazotolewa na benki hiyo ikiwemo mikopo kwa wajasiliamali wadogo. 
  Ofisa Mikopo wa Access Bank,  Isaak Malaba akikabidhi zawadi ya mfuko wa Acces Bank kwa mmoja wa wateja waliotembelea banda lao
  Ofisa Mikopo wa Access Bank, Marggoreth Riziki na Godbless Exaud wakiwahudumia wateja ndani ya Sabsaba
  Ofisa Mikopo wa Access Bank, Magdalena Kijuu akikabidhi Zawadi ya T-Shirt kwa mteja aliyefungua Akaunti katika banda lao la Maonyesho  ya Sabasaba
Ofisa Mikopo wa Access Bank, Alex akitoa huduma mteja
 Sehemu ya wateja waliofika katika banda hilo
Wafanyakazi wa Accs Bank wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya banda la Maonyesho Sabasaba

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger