TRA

TRA

Thursday, July 6, 2017

AMREF YAFANYA MKUTANO NA WADAU KATIKA MAHADHIMISHO YA MIAKA 60

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


 Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mamhoud Thabiti Kombo, akizungumza wakati wa ufunguzi wa Mkutano wa Mwaka wa wadau wa Amref  Uliofanyika jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa Amref Nchini, Florence Temu  akizungumza wakati wa mkutano huo wa wadau uliofanyika katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es Salaam


 Mtendaji mkuu wa kurugenzi wa Amref Africa ,Githinji Gitahi akizungumza kwa ufupi Historia ya Amref Hapa nchini na Mafanikio yake katika sekta ya Afya
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya akizungumzia namna gani Amref imesaidiakatika sekta ya Afya nchini
 sehemu ya wadau walioshiriki mkutano wa wadau wa Amref  katika Hotel Serena Jijini Dar es Salaam
  sehemu ya wadau walioshiriki mkutano wa wadau wa Amref  katika Hotel Serena Jijini Dar es Salaam
Picha ya Pamoja ya wadau wa Amref na Mgeni Rasmi Waziri wa Afya wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mamhoud Thabiti Kombo

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger