TRA

TRA

Tuesday, July 18, 2017

BARAZA LA MAWAZIRI LAVUNJWA COMORO

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Rais Azali Assoumani amechukua hatua hiyo ikiwa ni mwaka mmoja tu baada ya uchaguzi mkuu kwenye visiwa hivyo. 

Amewaondoa mawaziri wote wa chama cha JUA kilichounda serikali ya mseto pamoja na chama chake CRC.
Hatua hii, pamoja na masuala mengine, inatajwa kuwa inalenga kurahisisha mkakati wa rais wa kubadilisha katiba ya visiwa hivyo. 

DW imezungumza na mwandishi wa habari aliyeko Comoro, Aboubakar Omar, ambaye ameanza kuzungumzia sababu hasa za kufikiwa kwa hatua hii.
 

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger