Mkuu wa kitengo cha Maendeleo ya Biashara Benki Benki ya Azania, Othman Jibrea (kulia)
akiwa katika picha na baadhi ya wafanyakazi wenzake katika
banda la Benki hiyo kwenye maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya
Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa
jijini Dar es Salaam.
Benki ya Azania inawakaribisha
wananchi mbalimbali wanaotembelea katika maonyesho ya Sabasaba wafike
kwenye banda hilo lililopo Namba 49 kwenye ukumbi wa Sabasaba Hall ili
kupata ufafanuzi na maelezo ya huduma mbalimbali zinazotolewa na Benki
ya Azania.
SHARE
No comments:
Post a Comment