Wateja
wa Benki ya CRDB wakipata huduma mbalimbali ikiwemo kufungua akaunti
mpya na kujiunga na huduma ya SimBanking ndani ya gari la mauzo la Benki
ya CRDB katika maeneo ya Mbezi-Kimara jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande).
Wateja
wa Benki ya CRDB wakipata huduma mbalimbali ikiwemo kufungua akaunti
mpya na kujiunga na huduma ya SimBanking ndani ya gari la mauzo la Benki
ya CRDB katika eneo la Kimara jijini Dar es Salaam.
Ofisa
wa Benki ya CRDB, Edina Masawe, akimhudumia mteja wa benki hiyo,
Christian Wilfred, aliyefika katika gari la mauzo la benki hiyo katika
eneo la Mbezi Luis.
Ofisa
Masoko wa Benki ya CRDB, Estherine Mtimba (kulia), akimsaidia kufungua
akaunti pamoja na kumuunganisha na huduma ya SimBanking mteja mpya wa
benki hiyo, Rehema Adam.
Ofisa
Mauzo wa Benki ya CRDB, Benjamin Banzi (wa pili kulia), akimuunganisha
mteja, Christopher Mjata kwenye huduma ya SimBanking (huduma za benki ya
CRDB kwa njia ya simu za mkononi) katika eneo la Kimara jijini Dar es
Salaam.
Mteja
wa Benki ya CRDB, Khalid Hassan (kulia), akifungua akaunti katika gari
la mauzo la benki hiyo katika eneo la Mbezi jijini Dar es Salaam.
Kushoto ni Ofisa wa Benki ya CRDB, Eric Maro.
Baadhi
ya wateja wa Benki ya CRDB wakitoka kufungua akaunti pamoja na kujiunga
na huduma ya SimBanking katika gari la mauzo la benki hiyo katika eneo
la Kimara jijini Dar es Salaam.
Wateja wakisubiri kupata huduma mbalimbal ndani ya gari la mauzo la Benki ya CRDB.
SHARE
No comments:
Post a Comment