Wafanyakazi
wa Benki ya NIC wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kukabidhi
msaada wa mahitaji mbalimbali ya kibinadamu katika kituo cha watu wenye
mahitaji maalumu (jina limehifadhiwa) kilichopo Mburahati Jijini Dar Es
Salaam.
Mkurugenzi
mkuu wa uendeshaji wa benki ya NIC, Bi Beatrice Kyanzi akiongea na
waandishi wa habari mara baada ya kukabidhi msaada wa mahitaji
mbalimbali ya kibinadamu katika kituo kimoja cha watu wenye mahitaji
maalumu (jina linahifadhiwa) kilichopo Mburahati Jijini Dar Es Salaam
Picha ya Pamoja.Picha zote na Josephat Lukaza – Lukaza Blog
SHARE
No comments:
Post a Comment