Bodi ya Kahawa Tanzania haipo nyuma kutangaza shughuli zake kwani ipo pia kwenye Maonesho ya Biashara maarufu kama Sabasaba.
Chini ya Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa bodi hiyo, Primus Kimaryo imejipanga vizuri kuendeleza lao la kahawa ili kuharakisha uchumi wa nchi hasa kipindi hiki ambacho Tanzania imepania kuwekeza kwenye viwanda.
No comments:
Post a Comment