Mbunge wa Sengerema, William
Ngeleja yuko Idara ya Habari (MAELEZO) sasa akizungumza kuhusu kurudisha
pesa zote Mil 40 alizopewa na Mzee Rugemalira, amesema tayari
amerudisha TRA Sh. milioni 40.4 alizokuwa amepewa na mfanyabiashara James
Rugemalira.
SHARE
No comments:
Post a Comment