
Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Simon Sirro (kushoto), akizungumza na Kamanda wa Polisi mkoa wa
Kagera, Kamishna Msaidizi Muandamizi wa Polisi (SACP) Augusine Ollomi,
muda mfupi alipowasili, IGP Sirro yupo mkoani humo kwa ziara ya kikazi
yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na askari pamoja na kujua
chamgamoto wanazokutananazo wakitekeleza majukumu yao. Picha na
Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi.

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini
(IGP) Simon Sirro, akizungumza na baadhi ya askari wa kikosi maalum
kinachofanya doria za kupambana na wahalifu aliokutana nao katika eneo
la Nyakanazi mkoani Kagera, IGP Sirro yupo mkoani humo kwa ziara ya
kikazi yenye lengo la kujitambulisha na kuzungumza na askari pamoja na
kujua chamgamoto wanazokutananazo wakitekeleza majukumu yao. Picha na
Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Mwigulu Nchemba (Mb), akitafakari jambo na Mkuu wa Jeshi la Polisi
Nchini (IGP) Simon Sirro, walipokutana katika viwanja vya Lemela
wilayani Ngara mkoa wa Kagera, wakisubiri kuwasili kwa Rais John
Magufuli na Rais Pierre Nkurunziza wa Jamhuri ya Burundi. Picha na
Demetrius Njimbwi – Jeshi la Polisi.
![]() |
IGP Sirro, akimsikiliza kwa makini Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mwigulu Nchemba |
SHARE
No comments:
Post a Comment