Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akionyesha Kamumusi Kuu ya Kiswahili baada ya kuizindua kwenye ukumbi wa
Bunge mjini Dodoma Juni 19, 2017. Kulia ni Mwenyekiti wa Bunge na
Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu. Kushoto ni Balozi wa Kiswahili
Afrika, Mama Salma Kikwete. Wapili kushoto ni Waziri wa Habari,
Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Harrison Mwakyembe(Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akikata utepe wakati alipozindua Kamusi Kuu ya Kiswahili kwenye ukumbi
wa Bunge Mjini Dodoma Juni 19, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipozindua Kamusi Kuu ya
Kiswahili kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma Juni 19, 2017 (kushoto)
ni Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa Ilala, Mussa Azan Zungu. (Picha na
Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge na Mbunge wa
Ilala, Mussa Azan Zungu nakala ya Kamusi Kuu ya Kiswahili baada ya
kuzindua kamusi hiyo kwenye ukumbi wa Bunge mjini Dodoma, Juni 19, 2017.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
SHARE
No comments:
Post a Comment