Walikokaa ni Ofisa Masoko wa Multichoice Tanzania Shumbana Walwa katikati , Adam Melele Maarufu kama “Swebe” Mtangazaji wa kituo cha redio cha EFM kulia , Vida Msuya Afisa Uhifadhi wa wateja Multchoice kushoto NA nyuma waliosimama ni Salum Salum Meneja Mauzo Multchoice kulia na Meneja Masoko wa Multichoice-Tanzania, Alpha Mria
wakipozi kwa picha katika banda lao kwenye maonyesho ya Sabasaba
yanayoendelea kwenye Viwanja vya Mwalimu J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa
jijini Dar es salaam wananchi mbalimbali wanakaribishwa kutembelea banda
hilo ili kupata huduma mbalimbali kutoka Multchoice.
Malkia wa Mipasho Khadija Omary Kopa na Afisa Masoko wa Multichoice Tanzania Shumbana Walwa wakipozi kwa picha waliosimama nyuma kutoka kulia ni Salum Salum Meneja Mauzo Multchoice, Meneja Masoko wa Multichoice-Tanzania, Alpha Mria na Vida Msuya Afisa Uhifadhi wa wateja Multchoice.
Meneja Masoko wa Multichoice-Tanzania, Alpha Mria (kulia), Vida Msuya Ofisa Uhifadhi wa wateja Multchoice na Ofisa Masoko wa Multichoice Tanzania, Shumbana Walwa
(katikati) wakiweka mambo sawa ili kuhudumia wateja wanaotembelea katika
banda lao kwenye maonyesho ya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini Dar es
salaam.
Ikafika zamu ya kuangalia kidogo burudani ya TV kama ilivyo DSTV na Full Burudani kwa vipindi vyake mbalimbali na maridadi.
Vida Msuya Ofisa Uhifadhi wa wateja Multchoice, Ofisa Masoko wa Multichoice Tanzania, Shumbana Walwa na Adam Melele
Maarufu kama “Swebe” Mtangazaji wa kituo cha redio cha EFM (kulia )
wakiweka mambo sawa ili kufanya mahojiano ya moja kwa moja katika banda
hilo.
Baadhi ya wateja wakiwa katika banda la Multchoice wakipata huduma mbalimbali.
Wafanyakazi wa Multchoice wakiendelea kutoa huduma katika banda lao.
SHARE
No comments:
Post a Comment