Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo, Dk. Hassan Abbas akisalimiana na Meneja Mwasiliano na Uhusiano wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta
(EWURA) wakati alipotembelea banda hilo pamoja na mwenzake Mkurugenzi
wa Idara ya Habari (MAELEZO) kwenye Maonesho ya Sabasaba yanayoendelea
kwenye viwanja vya J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam,
Maonyesho hayo yanaandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara ya Nje
(TANTRADE) na yanafanyika kilwa mwaka mwezi Julaim wengine katika picha
ni baadhi ya wafanyakazi wa mamlaka hiyo wakiwa katika banda hilo ili
kutoa maelezo mbalimbali kwa wageni wanaotembelea katika banda hilo
kuhusu shughuli zake.
Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN), Dk. Jimmy Yonaz akisalimiana na Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa EWURA, Titus Kaguo wakati alipotembelea banda hilo pamoja na
mwenzake Dk. Hassan Abbas Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO)
kwenye maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea kwenye viwanja vya
J.K.Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, Maonyesho hayo
yanaandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara ya Nje (TANTRADE) na
yanafanyika kilwa mwaka mwezi Julai.
Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa EWURA, Titus Kaguo akitoa maelezo kwa Mhariri Mtendaji wa
Magazeti ya Serikali (TSN) Dk. Jimmy Yonaz kushoto na Dk. Hassan Abbas
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) wakati walipotembelea katika
banda hilo.
Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN), Dk. Jimmy Yonaz akisaini kitabu cha wageni katika banda hilo.
Mhariri Mtendaji wa Magazeti ya Serikali (TSN), Dk. Jimmy Yonaz akiagana na Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa EWURA, Titus Kaguo na Dk. Hassan Abbas Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) kushoto mara baada ya kutembelea katika banda hilo ,
katikati ni Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Rodney
Thadeus.
Meneja Mawasiliano na Uhusiano wa EWURA, Titus Kaguo (kushoto) pamoja na wafanyakazi wenzake wakiwa katika picha.
SHARE
No comments:
Post a Comment