TRA

TRA

Sunday, July 2, 2017

KAMA NI MKULIMA NENDA AZANIA BANK UPATE MKOPO WA TREKTA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

 

JK6
 Victor Zephania Musendo Ofisa Mikopo Benki ya Azania akitoa maelezo kwa wananchi Ali Ndila kulia na Abdallah Kigwalilo wakulima kutoka mkoani Morogoro waliofika kwenye banda la Benki hiyo lililopo kwenye banda kuu la NDC ili kupata maelezo kuhusu  mikopo ya Matrekta   katika maonyesho ya Sabasaba yanayoendelea kwenye viwanja vya Mwalimu J.K Njerere barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam, Katikati ni Said Tunda Meneja wa Uwekezaji NDC, Maonyesho hayo yanaandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara ya Nje (TANTRADE)
JK7
JK5
Mtaalam wa Mikopo ya Nyumba (Mortigage Specialist) kutoka Benki ya Azania, Liberia Peter akizungumza na wafanyakazi wenzake katika banda la benki ya Azania kwenye viwanja vya maonyesho ya Sabasaba yanayofanyika kwenye viwanja vya Mwalimu J.K. Nyerere Barabara ya Kilwa jijini Dar es salaam.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger