Meneja wa Wateja na Huduma za Jamii, Aikande Makere akizungumza jambo na wanahabari mara baada ya kufika katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI)
|
Wafanyakazi
wa Kampuni ya Ulimzi wakishusha Msaada wa Vitu Mbalimbali yenye Thamani
ya Sh. Milioni Mbili na Nusu, ikiwemo viti viwili vya magurudumu (Wheel chair), Dawa, (PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Wafanyakazi wa Kampuni ya Ulinzi ya SGA Tanzani yamwaga Msaada katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI)
Mkurungenzi
Mkuu wa Kampuni ya ulinzi ya SGA Tanzania, Eric Sambu (kushoto)
akimkabidhi kiti cha magurudumu (Wheel chair) Mkurugenzi wa huduma za
Uuguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI), Flora Kimaro. katika hafla
iliyofanyika Dar es Salaam jana, Wanaoshuhudia katikati ni meneja wa
wateja na huduma za jamii, Aikande Makere na wapili kulia nia Meneja wa
Ustawi wa Jamii na Uhusiano wa Taasisi hiyo, Jumaa Almasi
Meneja wa Wateja na Huduma za Jamii, Aikande Makere akizungumza jambo na wanahabari mara baada ya kufika katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI)
Mkurungenzi Mkuu wa Kampuni ya ulinzi ya SGA Tanzania, Eric Sambu akizungumza na wanahabari mara baada ya kufika katika Taasisi Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI)
Mkurugenzi wa huduma za Uuguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI), Flora Kimaro (kulia) akishirikiana na Mkurungenzi Mkuu wa Kampuni ya ulinzi ya SGA Tanzania, Eric Sambu kuweka Msaada hiyo kwenye kiti cha magurudumu (Wheel chair)
Mkurugenzi wa huduma za Uuguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI), Flora Kimaro (wa nne kulia) katika picha ya pamoja
Mkurungenzi Mkuu wa Kampuni ya ulinzi ya SGA Tanzania, Eric Sambu (wa kwanza kushoto) akibadilisha mawazo na Mkurugenzi wa huduma za Uuguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI), Flora Kimaro katikati na mkulia ni Meneja wa Ustawi wa Jamii na Uhusiano wa Taasisi hiyo, Jumaa Almasi
Mkurugenzi wa huduma za Uuguzi wa Taasisi ya Tiba ya Mifupa (MOI), Flora Kimaro katika picha ya pamoja (wa nne kushoto )
SHARE
No comments:
Post a Comment