Afisa Msaidizi wa Uendeshaji wa PSPF,
Bw.Mussa Mfaki, (kulia), akimkabidhi kadi ya kujiunga na PSPF kupitia
Mpango wa uchangiaji wa Hiari, PSS, Bi.Damare B. Nampwani, leo Julai 12,
2017.
Bi.Damare B. Nampwani, akionyesha kadi yake baada ya kukabidhiwa.
Mwananchi akijaza fomu ya lujiunga na
PSPF kupitia Mpango wa PSS, huku Mwanasheria kutoka Mamlaka ya Usimamizi
na Udhibiti MHifadhi ya Jamii, (SSRA), Bi.Imani Masebu, (kulia), na
Mhandisi Ally Shanjirwa, (katikati), wakishuhudia.
Mwananchi akionyesha dole gumba baada ya kujaza fomu.
Mwananchi akijaza fomu.
Afisa Michango wa PSPF, Bw. Noah Amri, akiwa kwenye mashine ya kutoa vitambulisho vya papo kwa hapo.
Afisa Uhusiano wa PSPF, Bi. Coleta
Mnyamani, (kulia), akimkabidhi kadi ya uanachama ya PSPF, Afisa wa
Polisi wa Usalama Barabarani, David S.Mlilo.
Afisa Uhusiano wa PSPF, Bi. Coleta Mnyamani, (kulia),
akimkabidhi kadi ya uanachama ya PSPF, Afisa wa Polisi wa Usalama
Barabarani, Salvatory A. Chacky.
Moja ya faida azipatazo Mwanachama wa
PSPF,ni kuwa na uwezo wa kukopa kiwanja cha ujenzi wa nyumba na hapa ni
Afisa Mipango Miji kutoka kampuni mshirika ya Adhi Plan Limited, Bi.
Anna Lukando, (kulia), akimpatia maeelzo ya jinsi gani mwanachama
anaweza kupata mkopo wa kiwanja au kununua kabisa.
Hiki ndio kikosi kazi cha PSPF ambacho
kwa takriban wiki moja na nusu kimekuwa kikitoa huduma kamambe kwenye
banda la Mfuko huo kwenye jengo la Wizara ya Fedha na Mipango kwenye
viwanja vya Mwalimu Nyerere, ambako kumekuwa na maonesho ya 41 ya
Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam. Kutoka kushoto waliosimama ni
Isack Kimaro, Mussa Mfaki, Chaula Miteko, Mhandisi Ally Shanjirwa, Abdul
Njaidi, Noah Amri,Win-God, Bw.Msina. Waliokaa kutoka kushoto, ni Bi.
Coleta Mnyamani, Bi. Mariam Saleh, Bi. Irine Musetti na Bi. Asmahan
H.Haji.
Win-God, (kushoto), Afisa wa uendeshaji msaidizi wa PSPF, akiwahudumia wananchi waliofika banda la Mfuko huo Julai 12, 2017. |
Afisa Uendehsji wa PSPF, Bw. Isack Kimaro, (kulia), akiagana na Mwananchi huyu aliyefika kupatiwa huduma
Afisa Uendeshaji wa PSPF,
anayeshughulikia Mpango wa Uchangiaji wa Hiari, (PSS), Asmahan Haji
(kulia), akimsaidia mwanachama huyu wa PSPF kuelewa michango yake.
SHARE
No comments:
Post a Comment