TRA

TRA

Tuesday, July 4, 2017

Mbunge wa CCM alivyotaka kupigana na wabunge wa CHADEMA jana bungeni

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

 

MBUNGE wa Viti Maalum (CCM), Juliana Shonza, jana alizua timbwili nje ya viwanja vya Bunge na kunusurika kupigwa na wabunge wa upinzani kutokana na kuwatambia kwamba atahakikisha Mbunge wa Kawe, Halima Mdee ambaye yuko kifungoni anaendelea kusota huko.

Wabunge hao wa Chadema waliitwa Polisi kuhojiwa usiku wa kuamkia leo. Hapo chini ni picha za tukio hilo




 

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger