Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dk. John Magufuli akiwa na viongozi wengine akifungua
mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha Nyamazugo Wilayani Sengerema.
Mradi huo unatarajiwa kuhudumia wakazi wa Sengereza kwa asilimia 100
tofauti na asilimia 33 ya awali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dk. John Magufuli akisikiliza maelezo ya mradi huo
mkubwa wa maji kutoka kwa Mhandisi wa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa
Mazingira, Antony Sanga wakati alipoanza ukaguzi wa mradi huo kabla ya
kuufungua.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dk. John Magufuli akizungumza jambo na Waziri wa Maji , Mhandisi Gerson Lwenge wakati akielekea kukagua mradi wa maji katika
kijiji cha Nyamazugo Wilayani Sengerema. Mradi huo unatarajiwa kuhudumia
wakazi wa Sengereza kwa asilimia 100 tofauti na asilimia 33 ya awali.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia kabla ya kufungua mradi huo
wa maji Wilayani Sengerema.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dk. John Magufuli akimpongeza mwanachama mpya wa CCM
ambaye alikuwa kada maarufu wa CHADEMA Kanda ya Ziwa, Hamis Tabasamu mara
baada ya kuzindua mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha Nyamazugo,
Sengerema mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dk. John Magufuli akiwa ameshikana mikono na waandishi
wa habari mbalimbali wa mkoani Mwanza ambao walishiriki katika kazi ya
ufunguzi wa mradi mkubwa wa maji katika kijiji cha Nyamazugo, Sengerema
mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dk. John Magufuli akiagana na Mwenyekiti wa Kamati ya Amani ya Mkoa wa Mwanza, Sheikh Hassan Kabeke mara baada ya kufungua
mradi huo wa maji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dk. John Magufuli akihutubia wakazi wa Sengerema mjini
wakati akielekea Chato mkoani Geita.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dk. John Magufuli akiwa na mwanachama mpya wa CCM ambaye
alikuwa kada maarufu wa CHADEMA Kanda ya Ziwa Hamis Tabasamu wakati
akihutubia wakazi wa Sengerema mara mara baada ya kuzindua mradi mkubwa
wa maji katika kijiji cha Nyamazugo, Sengerema mkoani Mwanza.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dk. John Magufuli akiwasalimia wanafunzi wa sekondari
mara baada ya kuhutubia wakazi wa Sengerema vijijini wakati akielekea
kuzindua mradi wa Maji.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dk. John Magufuli akiwahutubia wakazi wa Geita mara
baada ya kuwasili mkoani humo. PICHA NA IKULU
SHARE
No comments:
Post a Comment