MSTAHIKI
Meya wa jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita amtembelea Askofu wa Jimbo
kuu Katoliki la Dar es salaam Mwadhama Kardinal Polycarp Pengo ofisini
kwake Kanisa la Mtakatifu Joseph jijini baada ya kutoka nje
kwa matibabu.
Mstahiki
Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akisalimiana na Askofu Mkuu
wa jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Kardinal Polycarp Pengo
alipomtembelea ofisini kwake jana.
Askofu
Mkuu wa jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Kardinal Polycarp
Pengo akizungumza na Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita
kuhusu hali ya afya yake alipomtembelea jana ofisini kwake Kanisa la
Mtakatifu. Joseph.
Mstahiki
Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akimsikiliza Askofu Mkuu wa
jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Kardinal Polycarp Pengo
alipomtembelea ofisini kwake jana Kanisa la Mtakatifu Joseph jijini
hapa.
Mstahiki
Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akipata Baraka kutoka kwa
Askofu Mkuu wa jimbo Katoliki la Dar es Salaam Mwadhama Kardinal
Polycarp Pengo alipomtembelea ofisini kwake jana katika kanisa la
Mtakatifu Joseph alipomtembelea kumjilia hali yake.
Mstahiki
Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akisaini kitabu cha wageni
mara baada ya kumjulia hali Askofu Mkuu wa jimbo Katoliki la Dar es
Salaam Mwadhama KardinalPolycarp Pengo alipomtembelea ofisini kwake katika kanisa la Mtakatifu Joseph alipomtembelea kumjilia hali
yake.
SHARE
No comments:
Post a Comment