Mtoto wa kiume wa mwanasoka gwiji
nchini Brazil Pele amejisalimisha kwa polisi na ataanza kutumikia
kifungo cha miaka 13 jela kwa makosa yanayohusiana na biashara ya
ulanguzi wa fedha na dawa za kulevya.
Mwana wa Pele ajisalimisha kwa polisi ili kuendelea kuhudumia kifungo cha miaka 13 jela
Awali alikuwa amepewa kifungo cha miaka 33 lakini kikapunguzwa baada ya kukata rufaa na katika kukwepa jela kwa mda wote huu hadi sasa ambapo amejisalimisha kuanza kutumikia kifungo kilichosalia cha miaka 13 gerezani.
SHARE
No comments:
Post a Comment