Aliyekuwa mkurugenzi wa maswala ya
kiinteligensia, James Clapper anasema wakati mwingine inaonekana kama
raisi Trump anajaribu kuijenga Urusi kuwa taifa lenye hadhi kubwa tena.
Jenerali huyo mstaafu akajibu kua ilikua vigumu kuuleza bayana.
Jenerali Clapper ameongeza Urusi itakua daima ikifungamanishwa na jinsi ilivyo uathiri uchaguzi wa mwaka jana wa Marekani.
SHARE
No comments:
Post a Comment