

Rita Paulsen ni miongoni mwa Watanzania waliojumuika na Zari kwenye msiba

Meneja Babu Tale na Mama mzazi wa Diamond Platnumz walisafiri mpaka Uganda kwa ajili ya msiba

Madame Rita akisalimiana na Diamond Platnumz










millardayo.com na AyoTV zinatoa pole kwa Zari, Diamond, familia yake na kwa wengine wote kwenye msiba huu, Mungu ampumzishe kwa amani
SHARE
No comments:
Post a Comment