

Miongoni mwa timu hizo ni Singida United iliyopanda Daraja msimu huu ambayo pia ni moja ya timu zilizodhaminiwa na SportPesa wamekuwa wanafanya mazoezi katika viwanja viwili Mwanza kuelekea msimu wa 2017/18.

Singida United ambayo katika msimu unaotarajia kuanza baadaye mwezi ujao wataonekana wakiwa jezi zenye logo ya SportPesa kifuani ambao ndiyo wadhamani wao wanafanya mazoezi katika viwanja vya Nyamagana wenye nyasi bandia nyakati za asubuhi na nyakati za jioni hufanya mazoezi yao Chuo cha Ualimu Butimba, Mwanza.








CHANZO: Millardayo
SHARE
No comments:
Post a Comment