Julai 10, 2017 Rais
Magufuli alikabidhiwa nyumba za wahudumu wa afya na
Mkapa Foundation katika sherehe iliyofanyika kijiji cha Mkungo, Wilaya ya Chato, Geita.
Ayo TV na millardayo.com zilikuwepo eneo la tukio.
“Sasa hivi tumeweka sheria mpaka majipu yanajitumbua yenyewe” – JPM
No comments:
Post a Comment