Rais
wa Jamhuri Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli na Kulia kwa Mh Rais ni Balozi wa India Nchini Mhe Sandeep
Arya,Kulia kwa Mh Rais ni Waziri Maji Mhandisi Gerson Lwenge,akifuatiwa
na Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli na Viongozi wengine wa Mkoa wa
Tabora wakikata utepe kuashiria Ufunguzi rasmi wa mradi wa Maji toka
Ziwa Victoria Kwenda Kwenye Mji wa Tabora,Igunga na Nzega Julai 23,2917.Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na
Balozi wa India Nchini Mhe Sandeep Arya,Wakiteta jambo mara baada ya Mh
Rais Kuweka Jiwe la Msingi na Ufunguzi rasmi wa mradi wa Maji toka Ziwa
Victoria Kwenda Kwenye Miji wa Tabora,Igunga na Nzega Julai 24,2017.Rais
wa Jamhuri Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame
Mbarawa wakizinduwa Ukarabati, Ujenzi na Upanuzi wa Uwanja wa Ndege
Tabora Julai 24,2017.Rais
wa Jamuhuri Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli,akihutubia mamia ya wananchi wa Mkoa wa Tabora Kwenye Uwanja wa
Mpira wa Alli Hassani Mwinyi Julai 23,2917.Rais
wa Jamuhuri Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph
Magufuli akikata utepe kwenye Ufunguzi wa Barabara ya Tabora -Puge
-Ngeza yenye Urefu wa Kilometa 114.9 akiwa na Waziri wa Ujenzi na
Mawasiliano Prof Makame Mbarawa na Viongozi Wengine Wa Mkoa wa Tabora Julai 24,2017.
No comments:
Post a Comment