
Lulu na mama yake.
Staa wa
filamu nchini, Elizabeth Michael maarufu kwa jina la Lulu, ameingia
kwenye rekodi ya mastaa wenye picha kali kwenye kurasa zao za mitandao
ya kijamii hususan Instagram.

Lulu mwenyewe akipendeza.
Lulu
ameingia kwenye rekodi hiyo baada ya hivi karibuni kuchafua mtandaoni
kwa kuposti picha akiwa na familia yake, picha ambayo watu wengi
wamemsifia kutokana na uzuri wa gauni alilolivaa sare na mama yake mzazi
pamoja na mdogo wake wa kiume.

…akiwa na mdogo wake wa kiume.

Hakika Lulu apendeza, hadi anataka kupaa?.
Na Isri Mohamed/GPL.
SHARE
No comments:
Post a Comment