TRA

TRA

Saturday, July 1, 2017

RC KILIMANJARO, ANNA NGWIRA, AIPONGEZA PSPF KWA KUENDESHA MAFUNZO KW WASTAAFU WATARAJIWA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Anna Mghwira, (kulia), akipokea kadi ya uanachama wa Mfuko wa Pensehni wa PSPF, kupitia mpango wa hiari, (PSS), kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa PSPF, Adam Mayingu, wakati wa semina ya wastaafu watarajiwa mkoani Kilimanjaro Juni 30, 2017.
Bw. Mayingu akitoa hotuba yake
Mhe. Anna Ngwira, Mkuu wa Mkaow a Kilimanjaro, akionyesha kadi yake ya uanachama wa PSPF kupitia mpango wa PSS
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Anna Mghwira,akiagana na wanachama wasitaafu watarajiwa,wa mfuko wa pesheni wa PSPF,mara baada ya kufungua semina hiyo Mkoa wa Kilimanjaro Juni 30, 2017
Baadhi ya wastaafu watarajiwa wakiwa kwenye semina ya mafunzo iliyoandaliwa na PSPF mkoani Kilimanjaro.
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa PSPF 
Mgeni rasmi akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa semina hiyo.

Baadhi ya wastaafu watarajiwa wakiwa kwenye semina ya mafunzo iliyoandaliwa na PSPF mkoani Kilimanjaro.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger