Katibu Mkuu Kiongozi Balozi, John Kijazi akitoa pole kwa wafiwa kwenye msiba wa aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu, Hassan Rashid Shebuge makaburi ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Baadhi ya wafiwa kwenye msiba wa aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri marehemu Hassan Rashid Shebuge makaburi ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Mjane na watoto wa aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge wakiwa msibani kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge ukiwa tayari kuswaliwa kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry bin Ally akiongoza swala ya kuswalia mwili wa aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge ukiwasili kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge ukiwasili kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella wakiwa kwenye mazishi ya aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Sehemu ya wafanyakazi na waombolezaji kwenye mazishi ya aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na waombolezaji wengie wakielekea kwenye eneo la makaburi ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Jeneza lenye mwili wa aliyekuwa karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Rashid Shebuge likiwasili kwenye eneo la makaburi la kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe.
Martine Shigella na waombolezaji wengine wakiwa kwenye mazishi ya aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge makaburi ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge makaburi ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Mkuu wa Mkoa wa Tanga, Martine Shigella akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge makaburi ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Ndugu wa marehemu akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge makaburi ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais - Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dkt. Laurean Ndumbaro akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid Shebuge makaburi ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Ndugu akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid hebuge makaburi ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Ndugu akiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid hebuge makaburi ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
Mwombolezaji kiweka udongo kaburini wakati wa mazishi ya aliyekuwa Karani wa Baraza la Mawaziri Marehemu Hassan Rashid hebuge makaburi ya kijiji cha Funta, Bumbuli mkoani Tanga.
SHARE
No comments:
Post a Comment