TRA

TRA

Wednesday, July 5, 2017

SIMU ZA MOTOROLA ZARUDI SOKONI, ZIPO KWENYE MADUKA YA TIGO

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael akiwaonyesha waandishi wa habari simu aina ya Motorola MotoE+ na Moto E ambazo zipo sokoni kwenye maonesho ya 41ya biashara sabasaba jijini Dar Es Salaam. Pichani kushoto ni Meneja wa Vifaa vya intaneti wa Tigo, Mkumbo Myonga na Christina Julius wa Motorola.

Mtoa huduma wa kampuni ya simu za Motorola, Dalha Suleiman akiongea na wateja waliokuja kwenye banda Tigo kwenye maonesho ya 41ya biashara sabasaba jijini Dar es Salaam leo.

Mtoa huduma wa kampuni ya simu za Motorola, Dalha Suleiman akiongea na wateja waliokuja kwenye banda Tigo kwenye maonesho ya 41ya biashara sabasaba jijini Dar es Salaam leo.

Mtoa huduma wa kampuni ya simu za Motorola, Dalha Suleiman akiongea na wateja waliokuja kwenye banda Tigo kwenye maonesho ya 41ya biashara sabasaba jijini Dar es Salaam.

Meneja Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael akifafanua jambo kwa waandishi wa habari simu aina ya Motorola MotoE+ na Moto E ambazo zipo sokoni kwenye maonesho ya 41ya biashara sabasaba jijini Dar Es Salaam. Pichani kushoto ni Meneja wa Vifaa vya intaneti wa Tigo, Mkumbo Myonga na Christina Julius wa Motorola.

Waandishi wakichukua matukio wakati wa kutambulisha simu aina ya motorola

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger