Mhe Spika
Job Ndugai akitambulishwa katika mkutano wa Maspika wa Mabunge ya
Jumuiya ya Madola Barani Afrika unaofanyika Abuja Nigeria.Mkutano huo
unafanyika kujadili masuala mbali mbali yanayohusu mabunge hayo
unashirikisha Maspika toka nchi 18 za Jumuiya ya Madola Barani Afrika
SHARE
No comments:
Post a Comment