Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job
Ndugai (kushoto) akizungumza wakati alipotembelewa na ugeni kutoka CRDB
Benki Tawi la Dodoma, Katikati ni Meneja wa CRDB Benki Tawi la Dodoma
Ndg. Rehema Hamisi na kulia ni Meneja Biashara, Danny Shemdoe,
katika kikao kilichofanyika leo ofisini kwake Mjini Dodoma.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
SHARE
No comments:
Post a Comment