Wafanyakazi kampuni ya Uber Godfrey Mabula na Ibrahimu Kunguya
wakitoa maelezo kwa wakazi wa Jiji la Dar es salaam waliofurika katika
banda kujua jinsi Program ya Uber inayorahisisha usafiri wa kutumia
teknolojia ya kisasa na gharama nafuu pia wateja wote waliopakua Program
hiyo walipata punguzo la kiasi cha sh. 8200 kwa safari yao ya
kwanza mapema jana katika maonesho ya sabasaba Jijini Dar es Salaam.
Mfanyakazi wa Uber Ibrahim Kunguya akimsaidia mteja jinsi ya kutumia
Program ya uber ambayo imekuwa msaada kwa wakazi wa jiji la Dar kusaidia
kurahisisha usafiri kwa njia ya kiteknolojia ,Mapema jana katika
maonesho ya sabasaba Jijini Dar Es Salaam.
Balozi wa Uber akimsaidia mteja jinsi ya kupakua na kutumia program
ya Uber katika banda lao katiika maonesho ya sabasaba mapema jana Jijini
Dar es salaam.
Wateja waliofika katika banda la uber wakipata maelezo kutoka kwa
wafanyakazi wa Uber Jinsi ya kupakua na kutumia Progamu ya Uber ambayo
inarahisisha usafiri na kwa gharama nafuu,Mapema jana katika maonesho ya
sabasaba Jijini Dar es salaam.
Wakazi wa jiji la Dar es salaam wakipata maelekezo jini ya kujiunga
na programu ya Uber katika maonesho ya sabasaba mapema jana Jijini Dar
Es salaam.
Bango linaloonyesha jinis ya kuipata program ya Uber katika APP store
na Google play na kutumia kutumia usafiri kwa bei nafuu na kwa kisasa
zaidi .
Balozi wa Uber akitoa maelekezo kwa mteja aliyefika katika banda lao
ambapo pia wateja walijipatia punguzo la kiasi cha 8200 Tsh mara baada
ya kupakua na kutumia program ya uber katika kuagiza usafiri kwa bei
nafuu na kwa teknolojia ya kisasa mapema jana katika maonesho ya saba
saba.
Huduma zikiendelea kutolewa katika banda la Uber mapema jana katika maonesho ya sabasaba Jijini Dar es salaam.
SHARE
No comments:
Post a Comment