Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja
akimuuliza swali Rihama Ali Mmoja wa wasanii wa Bongo Movie
wanaoonekana kwenye king’amuzi cha DSTV wakati alipotembelea katika
banda la Kampuni ya Multchoice ili kujua huduma mbalimbali zinazotolewa
na kampuni hiyo katika maonyesho ya Sabasaba Barabara ya Kilwa jijini
Dar es Salaam.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja
akimuuliza swali Rihama Ali Mmoja wa wasanii wa Bongo Movie
wanaoonekana kwenye king’amuzi cha DSTV wakati alipotembelea katika
banda la Kampuni ya Multchoice kulia nia wafanyakazi wa kampuni hiyo.
Mwibaji wa Muziki wa Taarab
Malkia Khadija Omar Kopa akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea
katika banda la Multchoice ili kujipatia Ving’amuzi na kujua huduma
kadhaa zinazotolewa na kampuni hiyo.
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Wizara ya Fedha, Benny Mwaipaja
akiwa katika picha ya pamoja na Afisa Masoko na Mawasiliano wa
Multchoise Bi. Shumbana Walwa wakati alipotembelea katika banda hilo.
Picha zikionyesha wananchi wakijipatia huduma mbalimbali kwenye banda la kampuni ya Multchoice.
SHARE
No comments:
Post a Comment