Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa
katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari Nyangao
iliyopo Jimbo la Mtama mkoani Lindi kwenye viwanja vya Bunge mjini
Dodoma Julai 4, 2017. Kushoto kwake ni Mbunge wa Kuteuliwa, Mama Salma
Kikwete na wa pili kushoto kwake ni Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa
katika picha na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyangao
iliyopo katika Jimbo la Mtama Mkoani Lindi kwenye viwanja vya Bunge
mjini Dodoma Julai 4, 2017. Kushoto kwake ni Mbunge wa Kuteuliwa, Mama
Salma Kikwete na wapili kulia ni Mbunge wa Mtama Nape Nnauye
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya
Nyangao iliyopo katika Jimbo la Mtama Mkoani Lindi kwenye viwanja vya
Bunge mjini Dodoma Julai 4, 2017. Wapili kushoto kwake ni Mbunge wa
Kuteuliwa, Mama Salma Kikwete na kulia ni Mbunge wa Mtama Nape Nnauye.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa
katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Nyangao
iliyopo katika Jimbo la Mtama Mkoani Lindi kwenye viwanja vya Bunge
mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na
Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye wakisalimia wananfunzi wa Shule ya
Sekondari ya Nyangao mkoani Lindi kwenye viwanja vya Bunge jini Dodoma
Julai 4, 2017. (Pichana na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwa katika picha ya pamoja na wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya
Nyangao iliyopo katika Jimbo la Mtama Mkoani Lindi kwenye viwanja vya
Bunge mjini Dodoma Julai 4, 2017. Wapili kushoto kwake ni Mbunge wa
Mtama Nape Nnauye
SHARE
No comments:
Post a Comment