Naibu Spika wa Bunge, Dk.Tulia Ackson akiongoza kikao cha
59cha Mkutano was Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Julai 4, 2017.
Waziri wa Katiba na Sheria, Prof Palamagamba Kabudi akisoma maelezo kuhusu Sheria ya marekebisho
ya Sheria mbalimbali wa Mwaka 2017 kikao cha hamsini na tisa cha
Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni akijibu maswali mbalimbali ya wabunge kikao cha
hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Julai 4, 2017.
Naibu Waziri Anthony Mavunde akijibu maswali
mbalimbali ya wabunge kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Angela Kairuki akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika
kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini
Dodoma Julai 4, 2017.
Mbunge wa Bukombe, Dotto Biteko
akiuliza swali katika kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa
Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Mbunge wa Kuteuliwa, Salma
Kikwete akiuliza swali katika kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa
saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa
na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe akiteta jambo na Waziri wa Mambo ya
Ndani, Mwigulu Nchemba katika kikao cha 59 cha
Mkutano wa Saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
Mshindi wa Tuzo ya Stephen Thomas Award, Samwel Edward Mwanyika mwenye ugonjwa wa Down Syndrome
akionesha tuzo yake Bungeni baada ya kushinda tuzo hiyo ya Dunia
nchini Uingereza kwa kupiga picha inayovutia leo Mjini Dodoma Julai 4,
2017. Wengine ni Mama yake Sophia Mshangama na kaka yake Elias
Mwanyika
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa
akizungumza jambo na Mbunge wa Mtama, Nape Nnauye katika kikao cha
hamsini na tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma
Julai 4, 2017.
Walimu na wanafunzi kutoka
Sekondari ya Nyangao kutoka Mtama Mkoani Lindi wakiwa Bungeni kujifunza
shughuli mbalimbali katika kikao cha hamsini na tisa cha Mkutano wa saba
wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Julai 4, 2017.
No comments:
Post a Comment