Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewasili Mkoani Lindi kwa ziara ya kikazi ya siku nne akiwa mkoani humo ameanza ziara yake katika Wilaya ya Liwale kwa ajili ya kukagua shughuli za maendele na jioni ya leo atukuwa na mkutano wa hadhara nakuzungumza na wananchi wa liwale pamoja na kusikiliza kero zao
Waziri Mkuu ameongozana na Mke
wake, Mery Majaliwa ambapo walipokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Lindi,
Godfrey Zambi pamoja viongozi wa wilaya za Mkoa wa lindi ambao walifika
katika mapokezi katika uwanja wa ndege wa Nachingwea
Waziri Mkuu hapo kesho ataenda kaika wilaya ya Ruangwa
SHARE
No comments:
Post a Comment