TRA

TRA

Saturday, August 12, 2017

ANGALIA KAMANDA WA POLISI MKOA WA POLISI KINONDONI

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !


2 (2)
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakifanya mazoezi leo Agosti 12, 2017 jijini Dar es salaam, baada ya kumaliza matembezi ya pamoja ya kuimarisha afya na kujenga ushirikiano na ujasiri hususan katika kutekeleza majukumu ya kazi za Polisi na kukabiliana na matukio ya kihalifu, matembezi hayo yaliongozwa na kamanda wa Polisi wa  mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni,  Muliro J. Muliro, (watatu kushoto pichani juu).( Picha na Jeshi al Polisi).

1 (2)
Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, Muliro J. Muliro (watatu kushoto) akiwaongoza askari na maofisa wa vyeo mbalimbali leo jijini Dar es salaam, katika matembezi ya pamoja ya kuimarisha afya na kujenga ushirikiano na ujasiri hususan katika kutekeleza majukumu ya kazi za Polisi na kukabiliana na matukio ya kihalifu. Picha na Jeshi al Polisi.
1
Askari na maofisa wa vyeo mbalimbali wa mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, leo jijini Dar es salaam, wakiwa katika mazoezi baada ya kumaliza matembezi ya pamoja ya kuimarisha afya na kujenga ushirikiano na ujasiri hususan katika kutekeleza majukumu ya kazi za Polisi na kukabiliana na matukio ya kihalifu, matembezi hayo yaliongozwa na kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Muliro J. Muliro. Picha na Jeshi al Polisi.
2 (2)
Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) wakifanya mazoezi leo jijini Dar es salaam, baada ya kumaliza matembezi ya pamoja ya kuimarisha afya na kujenga ushirikiano na ujasiri hususan katika kutekeleza majukumu ya kazi za Polisi na kukabiliana na matukio ya kihalifu, matembezi hayo yaliongozwa na kamanda wa Polisi wa  mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni,  Muliro J. Muliro. Picha na Jeshi al Polisi.
2 (3)
Baadhi ya askari wa vyeo mbalimbali kutoka mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, leo jijini Dar es salaa, wakiwa katika matembezi ya pamoja ya kuimarisha afya na kujenga ushirikiano na ujasiri hususan katika kutekeleza majukumu ya kazi za Polisi na kukabiliana na matukio ya kihalifu, matembezi hayo yaliongozwa na kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Muliro J. Muliro. Picha na Jeshi al Polisi.
2
Baadhi ya askari wa vyeo mbalimbali kutoka mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni, leo jijini Dar es salaa, wakiwa katika matembezi ya pamoja ya kuimarisha afya na kujenga ushirikiano na ujasiri hususan katika kutekeleza majukumu ya kazi za Polisi na kukabiliana na matukio ya kihalifu, matembezi hayo yaliongozwa na kamanda wa Polisi wa mkoa huo, Muliro J. Muliro. Picha na Jeshi al Polisi.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger