TRA

TRA

Tuesday, August 15, 2017

GIGY MONEY AFUNGUKA TENA

Share On Facebook ! Tweet This ! Share On Google Plus ! Pin It ! Share On Tumblr ! Share On Reddit ! Share On Linkedin ! Share On StumbleUpon !

Msanii wa muziki wa bongo fleva Gigy Money amefunguka na kusema kuwa hakuna mwanamke anapenda mwanaume bali wanawake wanapenda pesa tu hivyo amedai yeye sasa hajali kumfurahisha mwanaume kwa umbo lake ila anachoangalia yeye anapiga pesa.
Mbali na hilo Gigy Money anadai kuwa ndoto zake za kuja kutoka kimapenzi na msanii Wizkid kutoka Nigeria bado ziko pale pale na kusema siku zikitimia atawathibitishia watu kuwa jambo hilo limetimia.

Author:

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Post a Comment

 
Copyright ©2016 NCHI YANGU • All Rights Reserved.
Template Design by AT Creatives • Powered by Blogger