
Kaimu
Katibu Mkuu wa UVCCM, Shaka Hamdu Shaka akiipata maelezo katika kitengo
cha ushonaji nguo alipotembelelea jana kambi ya JKT Ruvu 832 akifuatana
na wajumbe wa sekreteriet ya UVCCM Taifa. Kulia ni Kaimu katibu wa
Idara ya Vyuo na Vyuo vikuu Daniel Zenda na mwisho kulia Mkuu wa Utawala
Omar Ngwanangwalu

Kaimu Katibu Mkuu wa UVCCM, Shaka Hamdu Shaka akizungumza katika mkutano wa ndani pamoja na makamanda wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) jana alipotembelea kambi ya JKT Ruvu 832 akifuatana na wajumbe wa sekreteriet ya UVCCM Taifa
SHARE
No comments:
Post a Comment