Mratibu wa Idara ya huduma za jamii wa Kanisa la Kiinjili
la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Kusini Mchungaji Andrew
King’omela (kushoto) akizungumza na Mchungaji wa Usharika wa Mtoni Moses
Sozigwa (kulia) ambaye ni mlezi wa Mtaa wa Mwapemba wakati wa harambee ya
ujenzi wa kanisa la Mtaa huo.
Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania
(KKKT) Jimbo la Kusini Mtaa wa Mwapemba Usharika wa Mtoni pamoja na
wageni mbalimbali waliohudhuria harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa hilo
wakimsikiliza Mratibu wa Idara ya huduma za jamii Mchungaji Andrew
King’omela akihubiri.
Mratibu wa Idara ya huduma za jamii wa Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Kusini Mchungaji
Andrew King’omela akizungumza na Mwinjilisti kiongozi wa Mtaa Mwapemba
Usharika wa Mtoni Nicolas Mtali wakati wa harambee ya kuchangia ujenzi wa
kanisa la Mtaa huo iliyofanyika hivi karibuni. Zaidi ya milioni 17 zilipatikana
katika harembee hiyo ambayo ilikadiriwa kukusanya kiasi cha milioni 50.
Kwaya ya Uinjilisti ya Mtaa wa Kemete usharika wa
Kijitonyama ikiimba wakati wa harembee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Kusini Mtaa wa Mwapemba
Usharika wa Mtoni iliyofanyika hivi karibuni. Zaidi ya milioni 17 zilipatikana

Viongozi wa Kwaya ya Uinjilisti ya Mtaa wa Kemete
usharika wa Kijitonyama wakinadi kanga ambayo iliuzwa shilingi 67,000/= wakati
wa harembee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri
Tanzania (KKKT) Jimbo la Kusini Mtaa wa Mwapemba Usharika wa Mtoni
iliyofanyika hivi karibuni. Zaidi ya milioni 17 zilipatikana katika harembee
hiyo ambayo ilikadiriwa kukusanya kiasi cha milioni 50.
Wachungaji pamoja na wazee wa Kanisa la Kiinjili la
Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo la Kusini Mtaa wa Mwapemba Usharika wa
Mtoni wakiingia katika ibada maalum ya harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa

Wajumbe wa kamati ya Ujenzi wa Kanisa la

Usharika wa Mtoni wakihesabu fedha zilizotolewa na wadau mbalimbali
waliohudhuria harambee ya kuchangia ujenzi wa kanisa hilo iliyofanyika hivi
karibuni. Zaidi ya milioni 17 zilipatikana katika harembee hiyo ambayo
ilikadiriwa kukusanya kiasi cha milioni 50.
Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Jimbo
la Kusini Mtaa wa Mwapemba Usharika wa Mtoni lenye uwezo wa kuchukuwa
waumini 400 na vyumba vya ofisi vitano kama linavyoonekana katika picha.(PICHA NA ANNA NKINDA)

SHARE
No comments:
Post a Comment