Muonekano wa stendi kuu mpya na ya
kisasa ya mabasi ya abiria mjini Korogwe mkoani Tanga, ambayo imejengwa
kwa thamani ya shilingi Bilioni 4. Stendi hiyo imezinduliwa mapema leo
asubuhi na Mhe. Rais wa Jamhui ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe
Magufuli. Stendi hiyo itakuwa na mzunguko wa maduka zaidi ya 100 ambapo
Rais ameagiza mamlaka zinazohusika kuwagawia wananchi wa Korogwe sehemu
hizo za kufanyia biashara na kuonya watendaji walioandaa watu wao wa
kuwagawia sehemu hizo za biashara. Rais anamalizia ziara yake ya siku
tano mloani Tanga leo Agosti 7, 2017. (PICHA NA IKULU)
SHARE
No comments:
Post a Comment