Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama
Barabarani, Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni, akipokea moja ya tisheti zitakazovaliwa Siku ya Tamasha la Usalama
Barabarani kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi na Mauzo wa Benki ya
NMB, Omari Mtiga (kushoto), wakati wa makabidhiano yaliyofanyika katika Ukumbi
wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam. Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli.
Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama
Barabarani, Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni, akipokea moja ya tisheti zitakazovaliwa Siku
ya Tamasha la Usalama Barabarani kutoka kwa Meneja Masoko wa Kampuni ya
Bakhresa, Omary Kuwe (kushoto) wakati wa makabidhiano yaliyofanyika katika
Ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam. Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli
Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama
Barabarani, Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni, akipokea moja ya tisheti zitakazovaliwa Siku ya Tamasha la Usalama
Barabarani kutoka kwa Mwakilishi wa Kampuni ya Bin Slum, wakati wa makabidhiano
yaliyofanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam. Mgeni Rasmi
anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli
Mwenyekiti wa Taifa wa Baraza la Usalama
Barabarani, Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad
Masauni (kulia), akizungumza na Vyombo
vya Habari baada ya kupokea vifaa kutoka Kampuni mbalimbali zilizojitokeza
kudhamini Siku ya Tamasha la Usalama Barabarani litakalofanyika Agosti 12
katika Uwanja wa Taifa, ambapo Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania,Dkt. John Magufuli. Kulia ni Kamanda wa Kikosi cha Usalama
Barabarani nchini, Fortunatus Musilimu. Makabidhiano hayo yamefanyika katika
Ukumbi wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam.
Meneja
Masoko wa Kampuni ya Bakhresa, Omary Kuwe (kushoto) akizungumza na Vyombo vya
Habari baada ya kukabidhi vifaa kwa ajili ya udhamini wa Siku ya Tamasha la
Usalama Barabarani litakalofanyika Agosti 12 katika Uwanja wa Taifa, ambapo
Mgeni Rasmi anatarajiwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John
Magufuli. Makabidhiano hayo yamefanyika katika Ukumbi wa Wizara hiyo,
jijini Dar es Salaam. (PICHA NA WIZARA
YA MAMBO YA NDANI YA NCHI).
SHARE
No comments:
Post a Comment