Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya
Bajeti wakiwa katika katika mkutano na Menejimenti ya Chuo cha Kodi
wakati Kamati hiyo ilipofanya ziara kutembelea Chuo hicho kwa lengo la
kuangalia utekelezaji wa majukumu ya chuo hicho.
Mkuu wa Chuo cha Uhasibu (TIA)
cha Jijini Dar es Salaam, Dkt. Joseph Kihanda akisoma taarifa ya
utekezaji wa majukumu ya Chuo hicho kwa Kamati ya Bunge ya Bajeti wakati
Kamati hiyo ilipofanya ziara chuoni hapo
SHARE
No comments:
Post a Comment