Jose Maourinho
anasema kuwa matumaini ya Manchester United kumsaini mchezaji wa Real
Madrid mzaliwa wa Wales Gareth Bale hayapo tena.
Rais wa Real Madrid Florentino Perez alinukuliwa na gazeti la Uhispania, Marca akisema kwa mabingwa hao wa Uhispania hawana mpango wa kumuuza Bale.
Rais wa Real Madrid Florentino Perez alinukuliwa na gazeti la Uhispania, Marca akisema kwa mabingwa hao wa Uhispania hawana mpango wa kumuuza Bale.
- Ajenti wa Gareth Bale akana madai ya uhamisho wa Manchester United
- Mourinho: Nitamsajili Gareth Bale akiuzwa
- Gareth Bale aongeza mkataba mpya Real Madrid
- Gareth Bale: Sijali kupoteza taji la mchezaji ghali duniani
Bale 28, alijiunga na Real Madrid kwa kima cha pauni 85 akitokea Tottenham mwaka 2013.
Alitangaza kuwa na Madrid siku za usoni mwishoni mwa msimu akisema kuwa atakuwa na furaha kusalia na mabingwa hao wa Ulaya mara 12.
Madrid pia wanaripotiwa kuwa na mpango wa kumsaini mshambuliaji wa Monaco Kylina Mbappe kwa pauni milioni 160.
CHANZO: BBC
SHARE
No comments:
Post a Comment